Juu na chini  ni warembo wa Miss Iringa wakiwa katika maandalizi ya mwisho mwisho kabla ya kupanda jukwaani usiku wa leo katika ukumbi wa Highland hotel kuchana ili kumpata kisura wa mkoa huo

Leo ni leo ndani ya ukumbi wa Highland hawa ni baadhi ya washiriki watakao panda jukwaa kuwania kitita cha shilingi 700,000 kwa mshindi wa kwanza na shilingi 500,000 mshindi wa pili na 300,000 wa tatu pia mtandao huu utamtangaza mshindi wake atakayenyakua shilingi 50,000 kutoka katika mtandao wa Francis Godwin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2011

    Ha ha ha ha ha we need to better. who comes with this customes anyway? You try to tell everybody these are models? looking like clowns if you ask me.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2011

    Hao sio "clowns" bali ni warembo wa Iringa ambao mmoja wapo atakuwa ni mshindi wao na kuwakilisha Iringa kwenye urembo wa TZ.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...