Kwa mara nyingine tena TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION imetembelea wazee wanao ishi katika mazingira magumu na kutoa misaada mbali mbali. TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION tunaomba watu watakaoguswa na watakaopenda kusaidia kikundi hiki kiendelee kutoa misaada kwa wa lengwa, tupigieni simu 0787 558550 au 0787 177077 au 0784 265560 au 0784 950250 Tunapokea nguo mitumba isiochakaa saaana, vifaa vya nyumbani, mashuka, vyakula vikavu, kama, unga, mchele, sukari, maharagwe, majani ya chai n.k... Bado wapo wazee wengi hatuja wafikia. Lengo letu ni kuwapa angalau vyakula kidogo mwezi mara moja.... TUSHIKAMANE PAMOJA TUFIKISHE MALENGO YETU. |
Home
Unlabelled
OMBI KWA WAZEE WATARAJIWA WOTE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...