| Juu na chini ni warembo wa Miss Iringa wakiwa katika maandalizi ya mwisho mwisho kabla ya kupanda jukwaani usiku wa leo katika ukumbi wa Highland hotel kuchana ili kumpata kisura wa mkoa huo |
Leo ni leo ndani ya ukumbi wa Highland hawa ni baadhi ya washiriki watakao panda jukwaa kuwania kitita cha shilingi 700,000 kwa mshindi wa kwanza na shilingi 500,000 mshindi wa pili na 300,000 wa tatu pia mtandao huu utamtangaza mshindi wake atakayenyakua shilingi 50,000 kutoka katika mtandao wa Francis Godwin


Ha ha ha ha ha we need to better. who comes with this customes anyway? You try to tell everybody these are models? looking like clowns if you ask me.
ReplyDeleteHao sio "clowns" bali ni warembo wa Iringa ambao mmoja wapo atakuwa ni mshindi wao na kuwakilisha Iringa kwenye urembo wa TZ.
ReplyDelete