Waziri Mkuu, Mkuu, MIzengo Pinda akizungumza na Ujumbe kutoka Kampuni inayojenga kiwanda cha madawa ya kuua mazalia ya mbu cha Kibaha kiitwacho LABIOFAM ulioongozwa na Mkurugenzi wake Bw. Antonio J. Castro (wapili kulia), Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2011

    Hii ndiyo solution ya malaria na siyo vyandarua na matishirt ya matamasha. Malaria inateketezwa kwa mipango kama hii. Na hawa ndugu zetu wa CUBA wako serious katika sekta za afra kama hizi. Wajanja wa marekani na Ulaya wako bize kuuza dawa na si kuteketeza malaria. Zanzibar imefanikiwa kuteketeza malaria kwa njia kama hii,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...