Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Profesa Anna Tibajuka (kulia) akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma juu ya maadhimisho ya siku mipaka ya nchi za Afrika ambayo yatakuwa yanaadhimishwa kila mwaka Juni 8 ambapo mwaka huu kitaifa yamefanyika mkoani Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Madeye.picha na Tiganya Vincent, MAELEZO-Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2011

    Nasikia huyu mama ni mchapakazi kweli, safi sana...

    Whatever mama anavyofanya someone has yet to explain to me the mechanism behind the pricing of our real estate. The price being charged at the moment I am certain are not reflective of the actual values...and this is contributing to a great extent to inflation which in the end will cripple the national economy

    Haiwezekani mtu anunue kiwanja leo kwa million moja then next year akiuze kwa million 20 au 40, na sasa hivi ndo kinachoendelea.

    Kwahiyo mama tusaidie tusadie...kama vile anasoma globu ya jamii

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2011

    Hiyo mipaka ya Africa imefanya nini? Tuambieni kinachoendelea.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2011

    KUNDI LA MABILLIONEA WENYE FEDHA WALISHAINGIA TANZANIA NA KUSHIRIKIANA NA WATANZANIA WACHACHE [INASEMEKANA NAO NI MILLIONEA/BILLIONEA] NA KINACHOENDELEA SASA HIVI NI KUITOA PESA KWENYE SYSTEM [BANKRUPT/BANKS INCHI] TAYARI KUHAMIA NCHI NYINGINE NA KUFANYA "THE SAME THING" UNA NUNUA LEO KIWANJA MILLION 5(TANO) IN ONE TO TWO YEARS UNAUZA MILLION 25 TO 35 MIILLION."HILI JAMBO HALIONEKANI SASA HIVI" [MADHARA]LITAONEKANA BAADAE WATU WAKIANZA KUNYANGANYWA "NYUMBA/MAJUMBA" KWA WINGI ZAIDI.[HAKUNA UWIANO KATI YA GDP YA NCHI/MWANACHI NA KINACHOENDELEA] "MONEY LAUNDERING"

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 08, 2011

    mimi ningependa kumuuliza mama tibaigana ni kwanini serikali nayo inauza viwanja vyao kwa bei kubwa hivyo. viwanja walivyotoa hivi karibuni wamepandisha bei mara tatu kuliko walivyotoa nyuma. jee hii ni kuwaumiza maskini au vipi. mbona bei za serikali zinataka kulingana na zile za madalali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...