Wasamaria wema wakimsaidia majeruhi baada ya ajali hiyo iliyotokea Jumamosi jioni karibu na kanisa la St Peter, Oysterbay, jijini Dar. Hakuna aliyepoteza maisha
 Askari wa Usalama barabarani akichukua taarifa ya ajali
Askari wa Usalama Barabarani akimchukua dereva wa gari iliyopata ajali. Hakuumia
A
 Wanapata lifti ya Bajaji kuelekea kituoni

 Wapita njia wakiangalia gari moja lililopata ajali
 Gari iliyopata ajali ikiwa imebaki tupu baada ya bodi lake kunyofoka 
 Wasamaria wakimsaidia mama aliyekuwa katika gari dogo. Air bags na mikanda imewanusuru sana
 Gari dogo baada ya ajali
Bodi ya gari baada ya kunyofolewa katika ajali hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2011

    Poleni sana wahanga wa ajali. Hatujaambiwa chanzo cha ajali ila, kingine kikubwa kinachochangia ajali nyingi hasa jijini Dar ni upungufu wa alama za barabarani, hasa taa za usalama barabarani hazitoshi, yaani ni za kuhesabu. Madereva wengi wanatumia uzoefu tu wa kuendesha na wala hawaongozwi na alama za barabarani. Hebu wahusika Tanroads na wenye mamlaka litazameni suala hili pia.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2011

    Pole sana huyo aliyepata ajali namfahamu ni Dr Judith Kivugo wa pale AAR pole sana dr.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2011

    Janga la Kitaifa.Jamani bongo shria za barabarani zitakazwa lini maana Drink drivin ni kama mchezo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...