Wasamaria wema wakimsaidia majeruhi baada ya ajali hiyo iliyotokea Jumamosi jioni karibu na kanisa la St Peter, Oysterbay, jijini Dar. Hakuna aliyepoteza maisha
Askari wa Usalama barabarani akichukua taarifa ya ajali
![]() |
| Askari wa Usalama Barabarani akimchukua dereva wa gari iliyopata ajali. Hakuumia |
Wanapata lifti ya Bajaji kuelekea kituoni
Wapita njia wakiangalia gari moja lililopata ajali
Gari iliyopata ajali ikiwa imebaki tupu baada ya bodi lake kunyofoka
Wasamaria wakimsaidia mama aliyekuwa katika gari dogo. Air bags na mikanda imewanusuru sana
Gari dogo baada ya ajali
Bodi ya gari baada ya kunyofolewa katika ajali hiyo











Poleni sana wahanga wa ajali. Hatujaambiwa chanzo cha ajali ila, kingine kikubwa kinachochangia ajali nyingi hasa jijini Dar ni upungufu wa alama za barabarani, hasa taa za usalama barabarani hazitoshi, yaani ni za kuhesabu. Madereva wengi wanatumia uzoefu tu wa kuendesha na wala hawaongozwi na alama za barabarani. Hebu wahusika Tanroads na wenye mamlaka litazameni suala hili pia.
ReplyDeletePole sana huyo aliyepata ajali namfahamu ni Dr Judith Kivugo wa pale AAR pole sana dr.
ReplyDeleteJanga la Kitaifa.Jamani bongo shria za barabarani zitakazwa lini maana Drink drivin ni kama mchezo
ReplyDelete