Home
Unlabelled
Bango La Nauli za Mikoani stendi ya mabasi Ubungo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante Michuzi:Nilikuwa nafanya hesabu kidogo hapa kuhusu hizo nauli:Nimechukulia tu hizo zinazoitwa "Luxury bus" ambazo nadhani ndizo za 'bei mbaya'.Kilometa 1 nimeona abiria anatozwa Sh.46 hivi za Kitanzania(US$0.03/Km approx.)Kila mtu alipo huko duniani usafiri wa barabara ukoje?.Ulaya mkipanda hizo "coaches" mnatozwa vipi kwa KM?.Je hizi nauli ziko juu sana,chini sana au ziko sawa tukilinganisha na kipato chetu.
ReplyDeleteDavid V
Shukran Ankal kwa kutubandikia hizi nauli. Naomba kuuliza, ni nani mwenye mamlaka ya kupanga daraja la basi (Ordinary, semi Luxury au Luxury) na hutumia vigezo gani? Maana vinginevyo watakuwa wamepanga tu viwango vya chini vya juu vya nauli.
ReplyDeleteDuh kumbe kwenda Bukoba ni pesa nyingi! Inakuwa holiday ya nguvu kumbe kwenda nyumbani Kigoma! Ujitayarisha kweli.
ReplyDeleteAla kumbe haya mabasi yetu yapo mengine ni 'semi-luxury' na mengine ni 'luxury', mimi nilidhani yote ni 'ordinary'!!! Sijui ni vigezo gani vinatumika kuweka haya mabasi kwenye hayo makundi!
ReplyDeleteDavid V, Canada (Manitoba province) ni $0.35 kwa kilometa.
ReplyDelete