Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2011

    Asante Michuzi:Nilikuwa nafanya hesabu kidogo hapa kuhusu hizo nauli:Nimechukulia tu hizo zinazoitwa "Luxury bus" ambazo nadhani ndizo za 'bei mbaya'.Kilometa 1 nimeona abiria anatozwa Sh.46 hivi za Kitanzania(US$0.03/Km approx.)Kila mtu alipo huko duniani usafiri wa barabara ukoje?.Ulaya mkipanda hizo "coaches" mnatozwa vipi kwa KM?.Je hizi nauli ziko juu sana,chini sana au ziko sawa tukilinganisha na kipato chetu.

    David V

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2011

    Shukran Ankal kwa kutubandikia hizi nauli. Naomba kuuliza, ni nani mwenye mamlaka ya kupanga daraja la basi (Ordinary, semi Luxury au Luxury) na hutumia vigezo gani? Maana vinginevyo watakuwa wamepanga tu viwango vya chini vya juu vya nauli.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2011

    Duh kumbe kwenda Bukoba ni pesa nyingi! Inakuwa holiday ya nguvu kumbe kwenda nyumbani Kigoma! Ujitayarisha kweli.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 28, 2011

    Ala kumbe haya mabasi yetu yapo mengine ni 'semi-luxury' na mengine ni 'luxury', mimi nilidhani yote ni 'ordinary'!!! Sijui ni vigezo gani vinatumika kuweka haya mabasi kwenye hayo makundi!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 28, 2011

    David V, Canada (Manitoba province) ni $0.35 kwa kilometa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...