Maharusi Barke na Abdulhalim wakijidai wakati wa mnuso wao hoteli ya Movenpick jijini Dar usiku wa kuamkia leo baada ya kumeremeta Ijumaa iliyopita. Wote wanaishi Uingereza
Maharusi wakipozi kwa furaha
Mamaa'ke Bi harusi Asia Idarous-Khamsin na mumewe Bw. Khamsin (shoto) na mama yake Khamsin (wa pili shoto) na shangaziye bi harusi na ankal
Mamaa'ke bi harusi na wapambe wa Bi harusi
mabrooouk Mr & Mrs Abdul Sebo mungu awape maelewano inshallah....!!
ReplyDeleteWelcome to the world bruv......
Biharusi Maashallah umependeza siyo maskhara. Mwenyezi Mungu awajaalie iwe ndoa ya kheri na baraka tele.
ReplyDeleteIla hina na wanja vimeniwacha hoooooi. Wapi naweza kumpata huyo mpakaji hina jamani nina harusi ya binti yangu Inshallah Mfungo mosi.
All the best.
Nammimi nipo mawasiliano ya hawa waliovaa sare nao niwachumbie wote nimewapenda
ReplyDeleteAnkal ! hapo kwenye bega kuna mkanda mweusi ? vipi?
ReplyDeletekila unapokwenda na silaha yako? te!te!
asante michuzi picha nzuri ya harusi maarusi wamependeza sana kwa ujumla hii harusi bab kubwa safii sana mimi nilikuwa na swali huyu mama idarous nina maana mama yake na bibi harusi nikabila gani mbona kama anamchanganyiko na wahindi au wasamali wadau mnaomjua huyu mama vizuri mnifahamishe ni kwa nia nzuri mbarikiwe wote
ReplyDelete