Asalaam aleykum,
uncle michuzi wadau wa malaysia wamekula nondozzz zao tayari na hapa wanasheherekea kumaliza miaka yao mitatu ya kimasomo nchini Malaysia. ningependa tuwapongeze ili wazazi wajue kuwa vijana wao wamefanikiwa kuhiti mu salama na wameshakula nondozzz tayari kuja kuendeleza guruduma la maendeleo nyumbani.
ahsante sana.
regards Mr. Faraj Mohammed Saidi
uncle michuzi wadau wa malaysia wamekula nondozzz zao tayari na hapa wanasheherekea kumaliza miaka yao mitatu ya kimasomo nchini Malaysia. ningependa tuwapongeze ili wazazi wajue kuwa vijana wao wamefanikiwa kuhiti mu salama na wameshakula nondozzz tayari kuja kuendeleza guruduma la maendeleo nyumbani.
ahsante sana.
regards Mr. Faraj Mohammed Saidi
Ahsante kaka kwa kuthabarisha, ila kuna jambo muhimu, nyeti na la ,msingi sana,Hukutuambia ni wanafunzi wa chuo gani ili, na wazee wetu wapate mshawasha wa kutupelela katika chuo hichi, kwano ndo chuo cha kwanza tunaona wana Afrika Mashariki wakifanya Ghafla hii peke yao!!!!!
ReplyDeleteAnkal na mdau hapo juu, naona mleta habari kasahau.
ReplyDeleteNi wanafunzi wa UCTI/APIIT University kilichopo Bukit Jalil, Kuala Lumpur. Hii hafla ilifanywa ili kuwashukuru kwa mchango wao katika East African Community,kuwapa vyeti na kuwaaga wanajumuiya hao. Shule pia ilitambua mchango wao na wakawazawadia wanajumuiya. Hafla ilifanyika chuoni hapo.
Mdau, Mwanafunzi UCTI/APIIT.
Ankal kama utaweza kuweka kichwa cha habari kuonyesha chuo (UCTI/APIIT)ili wadau waweze kukitambua itakuwa ni vyema zaidi. Ahsante.
Mdau hiyo ni Staffordshire university
ReplyDeleteMdau uliyesema ni Staffordshire university, unawachanganya watu. Staffordshire ni affiliated chuo na UCTI/APIIT. so you can't call it Staffordshire, since it's not the whole school ambayo ipo under Staffordshire. Staffordshire University ya UK ni partners tu wa UCTI/APIIT.
ReplyDeleteningependa kutuma pongezi za dhati kwa wahitimu wote wa APIIT/UCTI,kwa watakao pata stashahada ya apiit au staffordshire au zote....safari yenu ilikua ndefu,mmejifunza mengi sio ya darasani tu,karibuni nyumbani na mazuri yoote kama kuna mabaya waachieni wenyewe huko.come home and make your country proud.
ReplyDeleteankal faraji mohammed saidi tunakushukuru kwa mchango wako mkubwa kwenye jamii yetu hapa malaysia, kama kaka,rafiki na RAIS wa watanzania.Mwenyezi mungu akubariki sana.
once again hongereni saana AND Ramadhan Karim kwenu wote!
COUSIN!