Mkurugenzi Mtendaji mpya wa benki ya Posta Tanzania Bw. Sabasaba Moshingi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuteuliwa na rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kushika wadhifa huo. kulia ni Mwenyekiti wa Bondi wa Benki hiyo Prof.Lettice Kinunda.
Baadhi ya wajumbe wa bodi ya benki ya Posta Tanzania wakiwa katika mkutano wa kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo mbele ya waandishi wa habari Makao makuu ya benki hiyo Dar Es salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa benki ya Posta Tanzania Bw. Sabasaba Moshingi na Mwenyekiti wa Bondi wa Benki hiyo Prof.Lettice Kinunda waliokaa wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya banki hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...