Bwana afya wa soko kuu la manispaa ya songea aliyefahamika kwa jina la Mchata akiwasihi wafanyabiashara wa soko kuu la Songea kuacha mgomo wao walioanza jana wakigomea kuongezeka kwa ushuru,

 Magunia ya mchele yakiwa yamefunikwa kufuatia wafanyabiashara wake kugoma kutoa huduma hiyo wakigomea ongezeko la kiwango cha ushuru wanaotakiwa kutoa kwa halmshgauri ya manispaa ya songea,ambapo umeongezeka kutoka tshs 200 hadi 400,
 Meza za wafanyabiashara zikiwa tupu bila bidhaa yeyote kufuatia wafanyabiashara hao kugoma baada ya kuongezewa ushuru na manispaa ya songea kutoka tshs 200 hadi 400,
 Hakuna mtu leo sokoni
 Mpaka kieleweke
Baadhi ya wafabiashara wa soko kuu la songea wakiwa hawajui la kufanya kufuatia mgomo mkubwa wa wafanyabiashara hao wakigomea kuongezeka kwa ushuru katika bidhaa zao kutoka tshs 200 hadi 400 bila manispaa kuzingatia aina ya biashara.
Picha na Muhidin Amri wa Globu ya Jamii, Ruvuma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2011

    Hii ni uonevu mkubwa kwa wafanyabiashara. Sio haki kabisa kwa manispaa kupandisha ushuru 100%.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...