Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wakulima wa mikoa mitano ya Zanzibar,wakiwa wawakilishi katika uzinduzi wa Uvunaji wa Mpunga wa mbegu,aina ya NERICA,huko katika shamba la kilimo la Mbegu hiyo Bambi Mkoa wa Kusini Unguja leo.

Baadhi ya Maofisa wa Serikali ya Mapinduzi,wakiwa katika uzinduzi wa Uvunaji wa Mpunga wa mbegu,aina ya NERICA,huko katika shamba la kilimo la Mbegu hiyo Bambi Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed  Shein,akishiriki katika uzinduzi wa Uvunaji wa Mpunga wa mbegu,aina ya NERICA,huko katika shamba la kilimo la Mbegu hiyo Bambi Mkoa wa Kusini Unguja leo.(Picha na Ramadhan Othman,IKULU).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2011

    Mngetuhabarisha kuhusu huu mpunga zaidi. Aina hii ya NERICA ina tafauti gani na ile ya mpunga wa Mbeya au Morogoro? Kwanini umepandwa? Nani aliyepanda? Muda gani unachukua mpaka kuvunwa? Kwanini NERICA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...