Hello Issa Michuzi,
Tanzanian Blog Awards Team tunapenda kutoa shukurani zetu za dhati kwa wewe kukubali kushiriki katika shindano letu. Pia tunapenda kukupa hongera kwa blog yako kujipatia ushindi.
Thanks
http://www.Skype Id: Bongoblogawards
hongera sana u deserve it. endeleza libeneke! tuko pamoja daima!
ReplyDeletehongera mdau hiyo ni zaidi ya ushindi wa kuuwa mende kwa kutumia mbunduki tuko pamoja sana!!
ReplyDeleteHongera ya congratulations kwa tuzo zote tatu kwa timu yako na kwako Anko Michuzi. Libeneke liendelee
ReplyDeletehongera sana kaka Issa Michuzi kwa tuzo ulizopata, mi binafsi naikubali sn kazi yako,na nimekuwa sikosi kuifungua blog hii kila siku...keep it up bro. Zena
ReplyDeleteGOOD WORK; AND CONGRATULATION BRO; BUT ONE IMPORTANT THING WE HAVE NOTICED ON THE POLITICAL SIDE OF OUR BLOG; MOST OR ALL OF GOVERNMENT CRITIC VIEWS ARE NOT POSTED. NEXT TIME YOU WILL WIN ALL PRIZES INCLUDING NON-ALIGNED OR UN-BIASED BLOG.
ReplyDeleteONCE AGAIN, CONGRATULATION AND KEEP UP GREAT WORK.
PEOPLE VIEWS ARE VERY IMPORTANT, AND RECOGNITION IS BUILT FROM THIS.
MDAU
hongera ankali you deserve it..ulitakiwa uchukue tunzo zote kwani blog hii ndio mambo yote..blog ya jamii oyeeeeeeeeee
ReplyDeleteNgoma Africa band inawapongeza timu yote ya Globu ya Jamii
ReplyDeletekwa kuzoa tuzo tatu kwa mpigo.
Saluti za FFU!
wadau
Ngoma Africa Band
Kaka,
ReplyDeleteHongera sana! Haya ni matokeo ya bidii na kazi yako njema kwa jamii. Ni mfano wa kuigwa.
Nduguyo,
Maggid
Kwa niaba ya wazamiaji wote nachukua fursa hii kukupa pongezi za dhati kwani unatufanya tujisikie nyumbani kila siku.ushindi wako naulinganisha na hoja ya CHADEMA ikisimama na ya watu fulani kwani ni sawa na kupiga Ngumi povu.uko juu mzee.LIBENEKE OYEE.
ReplyDeleteHongera sana uncle kwa kazi nzuri.toka kitambo mpaka sasa..unawakilisha.
ReplyDeleteHongera ila kwa upande wa politics jaribu ku-balance usipendelee sana chama Twawala
ReplyDelete