Hello Issa Michuzi,
Tanzanian Blog Awards Team tunapenda kutoa shukurani zetu za dhati kwa wewe kukubali kushiriki katika shindano letu. Pia tunapenda kukupa hongera kwa blog yako kujipatia ushindi. 
Thanks
                                             http://www.tanzanianblogawards.com
Skype Id: Bongoblogawards
Twitter Id: Bongoblogawards
KWA MATOKEO YA JUMLA BOFYA HAPA






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2011

    hongera sana u deserve it. endeleza libeneke! tuko pamoja daima!

    ReplyDelete
  2. hongera mdau hiyo ni zaidi ya ushindi wa kuuwa mende kwa kutumia mbunduki tuko pamoja sana!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2011

    Hongera ya congratulations kwa tuzo zote tatu kwa timu yako na kwako Anko Michuzi. Libeneke liendelee

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2011

    hongera sana kaka Issa Michuzi kwa tuzo ulizopata, mi binafsi naikubali sn kazi yako,na nimekuwa sikosi kuifungua blog hii kila siku...keep it up bro. Zena

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 14, 2011

    GOOD WORK; AND CONGRATULATION BRO; BUT ONE IMPORTANT THING WE HAVE NOTICED ON THE POLITICAL SIDE OF OUR BLOG; MOST OR ALL OF GOVERNMENT CRITIC VIEWS ARE NOT POSTED. NEXT TIME YOU WILL WIN ALL PRIZES INCLUDING NON-ALIGNED OR UN-BIASED BLOG.
    ONCE AGAIN, CONGRATULATION AND KEEP UP GREAT WORK.
    PEOPLE VIEWS ARE VERY IMPORTANT, AND RECOGNITION IS BUILT FROM THIS.
    MDAU

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 14, 2011

    hongera ankali you deserve it..ulitakiwa uchukue tunzo zote kwani blog hii ndio mambo yote..blog ya jamii oyeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 14, 2011

    Ngoma Africa band inawapongeza timu yote ya Globu ya Jamii
    kwa kuzoa tuzo tatu kwa mpigo.
    Saluti za FFU!
    wadau
    Ngoma Africa Band

    ReplyDelete
  8. Kaka,
    Hongera sana! Haya ni matokeo ya bidii na kazi yako njema kwa jamii. Ni mfano wa kuigwa.
    Nduguyo,
    Maggid

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 14, 2011

    Kwa niaba ya wazamiaji wote nachukua fursa hii kukupa pongezi za dhati kwani unatufanya tujisikie nyumbani kila siku.ushindi wako naulinganisha na hoja ya CHADEMA ikisimama na ya watu fulani kwani ni sawa na kupiga Ngumi povu.uko juu mzee.LIBENEKE OYEE.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 15, 2011

    Hongera sana uncle kwa kazi nzuri.toka kitambo mpaka sasa..unawakilisha.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 15, 2011

    Hongera ila kwa upande wa politics jaribu ku-balance usipendelee sana chama Twawala

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...