Mbunge wa Tabora mjini Mh. Ismail Aden Rage akisakata rhumba na 
mheshimiwa mwenzie kwenye hafla hiyo
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akitambulishwa kwa Mbunge wa Bumbuli Mh. January Makamba na dada yake Mwamvita Makamba
Spika wa Bunge Anne Makinda akikaribishwa na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare kwenye hafla ya Vodacom Meet & greet  iliyoandaliwa kwa wabunge na Kampuni ya Vodacom usiku wa kuamkia leo mjini Dodoma. Katikati ni Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano, Mwamvita Makamba
Mkuu wa Kambi ya Upinzani, Bungeni, Freeman Mbowe na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare wakiteta jambo wakati wa hafla hiyo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare wakiteta jambo
Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom, Mwamvita Makamba (katikati) akijumuika na baadhi ya wabunge kucheza mziki wakati wa hafla hiyo
MKurugenzi wa Vodacom Tanzania,Dietlof Mare akiteta jambo na Balozi wa jumuia ya Ulaya Tim Clark
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akicheza Kwaito na baadhi ya wabunge wakati wa hafla hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2011

    Wewe anony wa kwanza acha hizo fasihi za kitoto.Siyo vizuri

    David v

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2011

    Duuh Freeman umri unakwenda!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...