Mshirki wa shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, Rahma Swai akijinadi jukwaani mbele ya majaji na mashabiki na kivazi cha ubunifu.Mshirki wa shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, Ritha Kavishe akijinadi jukwaani mbele ya majaji na mashabiki na kivazi cha ubunifu. Vodacom Miss Kanda ya Mashariki 2011, Loveness Flavian akijinadi jukwaani mbele ya majaji na mashabiki na kivazi cha ubunifu.Picha ya pamoja ya warembo wote wanaowania taji la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na vazi lao la ubunifu.Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya 5 bora ya Vodacon Miss Kanda ya Mashariki. Kutoka Kulia ni Ritha Kavishe, Rahma Swai, Mariaclara Mathayo, Loveness Flavian na Asha Saleh.Ibrahim Kaude kutoka Vodacom akipokea Cheti cha shukrani kwa udhamini wa shindano hilo. Aliyekuwa akimkabidhi ni Vodacom Miss Tanzania 2010, Genevieve Mpangala.Mwanamuziki wa Bongo Flava Dully Sykes akitumbuiza katika shindano hilo.Warembo wakipita jukwaani na vazi la ufukweni katika shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki. Kutoka kushoto ni Rahma Swai, Winifrida Gration na Thureya Dabas.Warembo wakipita jukwaani na vazi la ufukweni katika shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki. Kutoka kulshoto ni Asha Iddy, Ritha Kavishe na Mariaclara Mathayo.Washiriki wa shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wakicheza show ya ufunguzi wa shindano hilo.
Home
Unlabelled
Loveness Flavian anyakua taji la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Hongera washiriki wote..kwakweli mlipendeza ila lazima mshindi apatikane,Hongera Love.Ila wewe Mariaclara una macho ya 'kutega'!
ReplyDeleteDavid V
Miss Kanda ya Mashariki mzuri maashallah lakini aangalie weight yake maana naona kidogo yuko above average.
ReplyDeleteHapa bongo ni sawa lakini akifanikiwa kwenda huko nje atajikuta na tatizo la uzito.
Just thinking aloud!
mmh hongereni washindi bt no 9 mbona ajashinda jaman!!!
ReplyDelete