katibu tawala wa mkoa wa Kagera,Nassor Mnambila akiwahutubia madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Misenyi wakati wa kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika jana katika ukumbi wa vijana.
katibu tawala wa mkoa wa Kagera Nassor Mnambila (mwenye suti Nyeusi) akiwa anasikiliza kwa makini hoja zilizokuwa zinatolewa na madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Misenyi wakati wa kikao cha kawaida cha baraza la madiwani wa halmashauri hiyo kilichofanyika kwenye ukumbi wa vijana ulioko katika mji mdogo wa Kyaka,Mkoani Kagera. wa mwisho kulia ni mwenyekiti wa hakmashauri hiyo William Katunzi, wa pili kulia ni mkurugenzi mtendaji Isaya Mbenje na wa pili kushoto ni mkuu wa wilaya ya misenyi kanali mstaafu Issa Njiku.
baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Misenyi wakisikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa inatolewa na katibu tawala wa mkoa wa kagera,Nassor Mnambila.Picha na Audax Mutiganzi,Misenyi
Du! Nimeipenda, sana imenikumbusha kyaka bulifani shule ya msingi.Taaluma ya habari oyyeeeeee nawapongeza sana bila ninyi kule kyaka, kagango, kasambya, bunazi, kyempili, gabulanga pasinge................ ktka anga hizi.
ReplyDelete