Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda(aliyevaa kitenge) alisalimiana na Meneja wa Shule hiyo, Sankarapandi Sivaraman (ayelie na asili hya kihindi) katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.
Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa(kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Arusha, Godbless Lema (kushoto) na Mbunge wa Jimbo la Mbozi Magharibi, David Silinde(katikati)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Utatibu), Stephen Wassira (kukulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Manyoni Mashariki , John Chiligati( kushoto)i kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo .
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Profesa Makame Mbarawa(kushoto) akipongezwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Florens Turuka(kulia) mara baada ya kuwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2011/2012 Bugen mjini Dodoma .Katikati ni Naibu Waziri wa wizara hiyo,Charles Kitwanga.
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi(kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Mbozi Magharibi David Silinde (katikati) na Mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema (kulia).Picha na Magreth Kinabo - MAELEZO.
Hon. Lowassa for President 2015!!
ReplyDelete