Salaam ankal Michuzi, ninatambua mchango wako katika kuwaunganisha watanzania pande zote za Tanzania na nje ya nchi kupitia habari mbalimbali na muhimu zinazopatikana kupitia blog yako ya michuzi, napenda kuungana na wewe katika kuihabarisha jamii matukio na habari mbali mbali zinazotokea katika mji wa bukoba na mkoa wa kagera kwa ujumla, hivyo basi naomba nitambulishe kwako na kwa wadau wote blog ya www.bukobawadau.blogspot.com kwa matukio na habari za Kagera Kwetu na dunia nzima kwa ujumla!!!
Home
Unlabelled
libeneke jipya la bukoba wadau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...