Rais Jakaya Kikwete (Kulia) na Balozi wa marekani nchini, Alfonso E. Lenhadrt (Kuloa) wakishuhudia wakati mke wa rais, Mama Salma, akipokea zawadi ya picha kutoka kwa waziri wa Afya na Huduma za Jamii wa Marekani, Bi. Kathleen Sebelius, Ikulu jijini Dar es Salaam Ijumaa hii. Mgeni huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...