KUSHOTO NI BINGWA WA UBO ANAYETETEA MKANDA WAKE MBWANA MATUMLA NA KULIA NI MPINZANI WAKE FRANCIS MIYEYUSHO HAPA NI BAADA YA KUSAINI KUPAMBANA TAREHE OKTOBA 30, 2011 KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE HALL JIJINI DAR.KATIKATI NI MKURUGENZI WA DARWORLD LINKS LTD AMBAO NI WAANDAAJI WA PAMBANO HILO MODDY BAWAZIR
Home
Unlabelled
maandalizi ya mpambano wa mbwana matumla na francis miyeyusho yakamilika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Big up kaka Bawazir naamini sasa ngumi zimepata mjua burudani.Ni pambano la kufa mtu nani asiyejua? ankali unatisha.
ReplyDeletehahahaha bongo bwana hadi raha eti miyeyusho hapo bingwa ni huyo matumla
ReplyDelete