Ancal Michuzi nakusali, nazidi kukupa pongezi kwa kazi nzuri unayo ifanya ya kuubarisha uma wa watanzania kwa kila jambo muhimu kwa manufaha ya umma.
Ancal naomba nishirikiane habari hii ya kusikitisha na wadau wa mtandao huu ili na sisi Watanzania tuwe makini na katika kuyalinda waingira yetu.
Inasemekana zaidi ya watu kumi wamiuwawa na wengine wengi kujereulia vibaya baada ya mlipuko mkuubwa ulio tokea leo mchana katika mji mkuu wa Norway Oslo. Mlipuko huwa umetoke baada ya bomu lililo tegwa kwenye gari kulipuka na kuleta maafa na kuaribu majengo likiwemo la Waziri mkuu wan chi hiyo.
Mabaki ya Gari linalo semekana lilipo tegwa Bomu hili.
Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA




Tuwape pole wanamapinduzi wenzetu huko!
ReplyDeleteYah, Mungu atazidi kuwapa nguvu na kuwaepushia mabaya zaidi.
ReplyDeleteDah hilo bomu lilikua limetengenezwa kwa mbolea ya kiwandani
ReplyDelete