Majeruhi akipatiwa huduma ya kwanza
Na Mdau Sixmund J. Begashe, Oslo

 Ancal Michuzi nakusali, nazidi kukupa pongezi kwa kazi nzuri unayo ifanya ya kuubarisha uma wa watanzania kwa kila jambo muhimu kwa manufaha ya umma.
Ancal naomba nishirikiane habari hii ya kusikitisha na wadau wa mtandao huu ili na sisi Watanzania tuwe makini na katika kuyalinda waingira yetu.

Inasemekana zaidi ya watu kumi wamiuwawa na wengine wengi kujereulia vibaya baada ya mlipuko mkuubwa ulio tokea leo mchana katika mji mkuu wa Norway Oslo. Mlipuko huwa umetoke baada ya bomu lililo tegwa kwenye gari kulipuka na kuleta maafa na kuaribu majengo likiwemo la Waziri mkuu wan chi hiyo.



Vile vile serikali ya Norway imedhibitisha mauaji mengine yaliyo fanywa na mtu anae semekana ni raia wa Norway alie valia mavazi ya Polisi, katika  moja vikisiwa vya nchi hiyo wakati vijana wakijadili mambo ya kisiasa kama ilivyo kawaida yao ya kila kipindi cha mapumziko ya Summer, Hata ivyo mtu hiyo inasemekana ameshatiwa nguvuni na Polisi inaendelea na uchunguzi zaidi zidi ya Matulio hayo, yaliyo tokea mida ya saa saba mchana.
 
Mabaki ya Gari linalo semekana lilipo tegwa Bomu hili.
Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2011

    Tuwape pole wanamapinduzi wenzetu huko!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2011

    Yah, Mungu atazidi kuwapa nguvu na kuwaepushia mabaya zaidi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2011

    Dah hilo bomu lilikua limetengenezwa kwa mbolea ya kiwandani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...