Mdau Geroge Alphonce Mutaboyerwa akipumua kwa furaha Jully 2011 akiwa Chuo Kikuu cha University of Portsmouth baada ya kulamba nondozzz ya
MSc in Stratergy Business Information Technology
George na Kaka yake Prudence Kahatano
George na rafiki yake Mathew Kileo wa Chuo Kikuu cha  Reading University.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2011

    Hongera mdau. Angalia maandiko yako hapo juu ya makosa. Pia siku za mbele angalia umesoma kwa utafiti au kwa kuingia darasani, ni muhimu sana hiyo mdau.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2011

    Hongera sana Mdau, ila mwandishi naona kaweka "Chuo Kikuu cha University..",

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2011

    Nakupongeza George unafiata myayo za babu marehemu Mutaboyerwa aliyefanya kazi ya diplomasia hapa uongereza kwenye miaka sitini.Naona mnaonyesha kawaida yenu akina nshomile.Bila kumsahau mr Prudence Kahatano Yuko wapi Huyu? Kwani mi jamaa safi sana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2011

    Congrats nephew..way to go.

    Its me your uncle from MN, USA

    ReplyDelete
  5. Nampa hongera zake kijana kwa kupa degree, ndugu zangu naona mchangiaji mmoja anauliza niko wapi mimi nipo mzima na e-mail yangu nakupatie kama unataka kuwasiliana na mimi kahatanop@yahoo.co.uk
    From Prudence Kahatano.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 24, 2011

    Dah!George.....nakukubali tangu zamani kijana! Endeleza hivyo hivyo bado na Phd ukamilishe kabisa!
    M.T,....Pretoria, SA

    ReplyDelete
  7. Nashukuruni sana wazalendo wenzangu, ilikuwa kazi ngumu but sir God alinipa nguvu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...