![]() |
Rais Jakaya Kikwete (Kulia) akijiandaa kuzungumza na viongozi wa dini kutoka Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam Ijumaa hii |
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa madhehebu ya Kikristo Tanzania baada ya kikao chao kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam. Ijumaa. Kulia kwa Rais ni Waziri wa Nchi Ofisi ya rais anayeshughulikia mahusiano na Uratibu Mhe. Steven Wassira.




Big up Mr. President, we love you and wish you best for your service. Mungu ibariki Tanzania.
ReplyDeleteHaya natumaini nyie viongozi wa dini mlitumia hiyo nafasi kumuuliza kuhusu alivyowasema mnajihusisha na madawa ya kulevya. Au mlimuogopa? Mngempa ile ultimatum yenu au mngemwambia kuwa ile ultimatum mliyompa ya masaa 48 awataje wahusika vinginevyo (sijui mngemfanya nini)imeishapita.
ReplyDeleteMkikutana naye uso kwa uso hamusemi akiwapa kisogo mkapewa maiki tu mnajifanya mkuu juu yake! Hatukatai kosoeni lakini mufanye kwa heshima na staha huyo ni kiongozi wa nchi!