Hayati Stanley Ruheza
Wanajumuiya wa Tanzania waishio Cagary, wanasikitika kutangaza kifo cha mwanachama mwenzao, Stanley Ruheza,  kilichotokea Calgary tarehe 15 July 2011.

Stanley alizaliwa October 10, 1963. Ameacha watoto wawili. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu Stanley inaendelea. Habari ziwafikie jamaa na marafiki wa Stanley.

Tunatanguliza shukurani kwa yeyote atakaependa kutoa mchango kwa lengo la kusafirisha mwili wa marehemu Stanley Tanzania.

Unaweza kutuma rambi rambi moja kwa moja kupitia Account namba: 220 6453949 ya TD Bank Calgary, CANADA, kwa jina la Stephen Nyamkara.

Unaweza pia kuwasiliana na wahusika wafuatao:

Calgary (Steven)
403 617 1258

Calgary (Naftali)
403 615 8792

Edmonton (Mollel)
780 628 2603

Red Deer ( Joseph)
403 343 3204
 
Imewasilishwa na Anthony Lukindo, Calgary, (403) 612 - 1849

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...