Sehemu ya shopping mall ya Quality Centre iliyoko barabara ya Nyerere road jijini Dar ambayo inasemekana ni kubwa kuliko zote nchini na East Afrika Mashariki. Imefunguliwa wikiendi hii. Mlimani City kaeni mkao wa kula maana mshindani wenu keshapatikana. Hayo mambo ya kuibiwa magari na vitu kwenye hayo magari angalieni yatafukuza wateja hapo. Mie simo...
Ankal akitoka window shopping ya nguvu Quality Centre leo
Savannah Lounge imefunguliwa Jumamosi usiku. Ni balaa
Mambo ya Savannah Lounge
Lemon Tree ipo kutoa huduma ya mgahawa
Lemon Tree Restaurant
Sehemu ya ndani ya Quality Centre
Mambo si ya kawaida humo ndani...
Maduka kibao ya kila aina
Ngazi mbili
Quality Centre
Supermarket maarufu toka kwa watani wetu wa jadi, UCHUMI, ndani
Parking ya kumwaga na salama















Imekuwa ni vyema kwani itatupunguzia safari za kwenda Mlimani City sie kina yakhe wa Temeke na Ilala. Vitu hivi vilipaswa kuwepo kila eneo angalau kila wilaya ziwepo tatu au mbili kwani hata movie lazima tukaangalia Mlimani City ikiwepo huku kule hatuendi ng'o.
ReplyDelete