Home
Unlabelled
eliakim chacha maswi kukaimu nafasi ya katibu mkuu wizara ya nishati na madini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duuuuu, Ikulu ina email ya yahoo!!! kazi kwelkweli
ReplyDeleteNadhani "Mwandishi msaidizi wa Habari wa Raisi" ni sahihi zaidi.
ReplyDeletehongera bwana Maswi, basi tuendelee kusukuma gurudumu la maendeleo.
ReplyDelete- - -
buffalo,
new york
Jamani hivi kweli muhusika mkuu wa hii kashfa ni Jairo au yeye ni kondoo wa kafara tu?Maana haiingii akilini ukiniambia kuwa Waziri na naibu wake hawakushiriki katika hili.Tena mimi nadhani haka kamekuwa ka utaratibu ka wizara zote pindi wanapokuwa pagumu,ni jumba bovu limemuangukia huyu tu this time!
ReplyDeletewaziri na naibu wake na mtunza hazina pia wote jamani waachie ngazi,uko wapi mh.rais hawa watu hawaitajika katika wizara hii wanadidimiza maendeleo ya mtanzania,tusaidie jamani mh,rais
ReplyDelete