Makamo wa pili wa raisi wa Zanzibar Balozi Seif Iddi akiangalia kazi za mikono na utengezaji wa fimbo kutoka Oman katika Jumba la Ajabu la Beit el Jaib, Unguja.
Waziri wa utamaduni wa Oman akitoa hotuba katika ufunguzi wa wa maoneysho ya tamasha la utamaduni wa Oman.
 Mtalii akipata maelezo ya kutoka wa mcheza ngoma za kiutamaduni kutoka taifa la Oman.


Viongozi mawaziri pamoja na wageni mashauri wakiwa wamekaa katika jukwaa la wageni waalikwa katika ufunguzi wa tamasha la utamaduni wa Oman hapo Beit el Jaib. Picha zote na www.zanzibarcarhire.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2011

    hivi ndio wanarudi nin waarabu kidogo dogo kama CCM walivosema akipata CUF WAARABU WATATAWALA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...