wachezaji wa red Sea wakimzonga Refa kwa madai kuwa anawauma hasa baada ya refa kuwataka Yanga kurudia penati baada ya kukosa - mara mbili
KIPA WA YANGA AKIOKOA PENAT I YA MWISHO
askari wakiweka ulinzi kwa waamuzi wa leo
Mashabiki wa Yanga wakifurahia ushindi |
Mshambuliaji wa Yanga, Davies Mwape akitafuta mbinu za kuwatoka walinzi wa Red Sea katika mchezo wa robo fainali ya michuano ya kombe la kagame kwenye uwanja wa taifa Dar es Salaam. Yanga ilishinda bao 6-5 za matuta baada ya kumaliza dakika 90 bila kwa bila. Katika penati tano-tano timu zote zilikosa penati moja moja kabla ya Yanga kushinda kwa penati yan mwisho iliyopigwa na Nurdin Bakari
Mshambuliaji wa Yanga, Kigi Makasi akimtoka beki wa Red Sea, Yakob Tekie katika mchezo wa robo fainali ya michuano ya kombe la kagame kwenye uwanja wa taifa Dar es Salaam. Picha zote na Francis Dande wa Globu ya Jamii
Wewe mithupu embu malizia kabisa kwa kusema "Ushindi wa Mbeleko".... Yaani kiwango cha Yanga ni cha chini mno... Kazi kubwa inahitajika kufanyika
ReplyDeleteYanga wamerudia kupiga Penati mara mbili baada ya kukosa!!
ReplyDeleteCECAFA and TFF tunajua wanawabeba simba na yanga ili wachezaji final, na wanachotafuta wao ni fedha pumbavu. Team mbovu mnazibeba for what??? ndio maana East africa teams viwango ni vibovu, michuano ya CUF hatuambulia kitu pumbavu kabisaa
ReplyDeleteKwa style hii ya hawa marefa kufanya upendeleo wa wazi wazi hivi ndio maana mpira wetu hauwezi kwenda mbele. Bingwa wa kweli hawezi kupatikana ktk mazingira kama haya. Ni aibu tupu, tunalipa viingilio vikubwa tuone mpira wa kweli badala yake marefa wanaonesha madudu ya wazi.
ReplyDeleteKwa sheria za soka kama kipa akitoka mapema na akaiokoa, pigo linarudiwa lakini ukapaisha mpira juu penalty hairudiwi. Hili lipo wazi, cha ajabu refa aliamuru pigo lingine wkt mpira ulipaishwa...!
Nasikitika sana kwanini penalti ya KIGI MAKASI haikurudiwa wakati gilikipa alitoka mita mbili wazi. Huu ni upuuuzi wa marefa kuogopa kufanya maamuzi magumu kisa tu wamesharudia mara mbili. Golikipa wao hajafundishwa kudaka penalty halafu mashabiki wa simba masikini weee, hawajui sheria za soka. Wanajua sheria za rufaa tu.....
ReplyDeleteHIVI KWA STAILI HII YA KUZIBEBA SIMBA NA YANGA MNAONA SOKA LETU LITAKUWA KWELI? TIZAMENI WEZENTU WANAJUA MPIRA NA WANAJUA NINI WANAKIFANYA WAWAPO UWANJANI, TFF MNAJUA ULAJI TU POLENI SANA
ReplyDeleteTANZANIA BWANA MNACHAKACHUA MPAKA KWENYE MPIRA JAMANI?
ReplyDeleteTFF MNATIZAMA MASLAHI TU NDIO MANA KILA SIKU TUNAKUWA VICHWA VYA WENDA WAZIMA (TANZANIA MTASHUKA KIWANGO MPAKA MTAFIKIA 0)
ReplyDelete