Mzunguka Dunia kwa kutumia usafiri wa Baiskeli,Heinz Allgaier akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hoteli ya Southen Sun jijini Dar es Salaam juu ya namna alivyoanza sahari mpaka kufika hapa nchini. 
 Mzunguka Dunia kwa kutumia usafiri wa Baiskeli,Heinz Allgaier akiwa na baiskeli yake hiyo nje ya hoteli ya Southen Sun jijini Dar es Salaam leo.Allgaier yupo nchini kwa udhamini wa hoteli ya Southen Sun.

unaweza tembelea mtandao wake kwa kubofya hapa na pia unaweza kuona mzunguko wake na sehemu zote alizopita kwa kubofya hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ankal msitake kutuyeyusha hapa kazunguka dunia na baiskeli hiyo jeuri katoa wapi? kwani dunia ina mabara mangapi inaonekana kaanzia safari yake South Africa na kuishia Europe hiyo dunia anayoizunguka iko wapi katika mabara 7 atakatiza mabara wawili tu hiyo sio dunia!

    ReplyDelete
  2. ataenda ustralia, south and north america kwa baiskeli ataweza kweli huyo?hahaha!

    ReplyDelete
  3. Hawa watu ndiyvo walivyo. Ni waongo sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...