Mfanyabiashara ya kuuza nyama katika moja ya mabucha yaliyopo soko kuu la manispaa ya songea aliyefahamika kwa jina moja la Heddy akiwa ameuchapa usingizi baada ya kusubiri wateja kwa muda mrefu bila ya mafanikio,ulaji wa kitoweo hicho katika mji wa songea unazidi kupungua kufuatia ongezeko la bei kutoka ths 4000 hadi 5000 kwa kilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii ndio staili ya uuzaji nyama Songea. Yaani nyama inatundikwa nje ya bucha badala ya ndani.

    ReplyDelete
  2. wewe unashangaa nyama kutundikwa nje hiyo ni sawa tu kwenye sehemu kama songea. hivi kweli watu wa huko wanakula nyama za kawaida kama ng'ombe au mbuzi kama ilivyo huko sehemu za arusha na moshi. mara nyingi nawasikia watu waliofika huko kutoka kaskazini wakisema hapana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...