Mfanyabiashara ya kuuza nyama katika moja ya mabucha yaliyopo soko kuu la manispaa ya songea aliyefahamika kwa jina moja la Heddy akiwa ameuchapa usingizi baada ya kusubiri wateja kwa muda mrefu bila ya mafanikio,ulaji wa kitoweo hicho katika mji wa songea unazidi kupungua kufuatia ongezeko la bei kutoka ths 4000 hadi 5000 kwa kilo.
Home
Unlabelled
biashara imedoda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Hii ndio staili ya uuzaji nyama Songea. Yaani nyama inatundikwa nje ya bucha badala ya ndani.
ReplyDeletewewe unashangaa nyama kutundikwa nje hiyo ni sawa tu kwenye sehemu kama songea. hivi kweli watu wa huko wanakula nyama za kawaida kama ng'ombe au mbuzi kama ilivyo huko sehemu za arusha na moshi. mara nyingi nawasikia watu waliofika huko kutoka kaskazini wakisema hapana.
ReplyDelete