Asalaam alaykhum ankal,
Pokea link hii nimeikuta ESPNSOCCERNET wanazungumzia mechi ya juzi ya
yanga kweli inatia moyo sasa hata soka la bongo linaongelewa kimataifa
inamaa limeanza kuvuka mipaka na kupasua anga link ni hii
http://soccernet.espn.go.com/ columns/story/_/id/945261/ africa-report:-abductions,- domitable-lions,-a-derby?cc= 3888
Regards
Wajina
Pokea link hii nimeikuta ESPNSOCCERNET wanazungumzia mechi ya juzi ya
yanga kweli inatia moyo sasa hata soka la bongo linaongelewa kimataifa
inamaa limeanza kuvuka mipaka na kupasua anga link ni hii
http://soccernet.espn.go.com/
Regards
Wajina

Jamaa kaiongelea vizuri kweli kama Movie la Commando John he!he!he!.
ReplyDeleteAnkal naomba nitumie jukwaa lako kuomba wananchi tusiingize siasa kwenye mpira wetu kama ambavyo mwandishi wa ESPN anatavyoeleza. Mimi ni Yanga na Chadema.
ReplyDeletekaongelea vizuri lakini sina uhakika kama JK alitinga ground afu Yanga hawakuanza na Mzambia
ReplyDeleteMkuu mie pia Simba ila nakubaliana na Hilo na hili ndio linarudisha mpira wenu kuna forum ya mitaa flani limenisikitisha kuona Siasa na Urangi na Udini umeenezwa kwenye stori ya mpira hasa Siasa na Urangi imekuwa kama sasa ni Timu ya Taifa hata Taifa pia tusiweke Urangi. Tupende KABUMBU letu na kuliheshimu.
ReplyDelete