Harambee Jumamosi Aug 6,2011
Macrina Samaka enzi ya uhai wake
Jumamosi Aug 6,2011 tutakua na HARAMBEE ya kusaidia kusafirisha mwili wa ndugu yetu,dada yetu marehemu Macrina Samaka saa 9 alasiri(3:00pm). itakayofanyikia nyumbani kwa Arthur Gao
4303 FRANKFORT DR,
ROCKVILLE,MD,20853
Kifo hakina mmoja leo Macrina,kesho ni mimi na wewe, mshikamano wako,umoja wetu na moyo wa upendo tuliokua nao kama Mtanzania unaejivunia Nchi yako na kila Mtanzania ni ndugu yako,chochote ulichokua nacho kitasaisia
Gharama za kuusafirisha mwili kwenda Tanzania zinafikia $9,000.
kwa mawasiliano
Afisa Ubalozi,Abass Misana-202 378 8066
Rasheed Mkakile-240 938 3177
Arthur Gao-240 408 1422
Magrette Wahida-301 915 5821
Dj Luke Joe-301 661 6696
Malecela(New York)-914 473 1033
Boston(MA)
Juliana-413 330 3891
Abela- 781 913 2107
Suzie-617 306 1645
Houston,TX
Georges Assenga-713 894 9403
MWENYEZI MUNGU AMETOA,MWENYEZI MUNGU AMETWA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE,
AMIN
Mnaotoa message za msiba muwe wastaarabu na kuandika maelezo yanayotakiwa sio mnatoa maneno maneno yasioleweka, kwanza huko MD ndio wapi? tueleweshe vizuri, naomba tueleze dada yetu amefia wapi? na zinahitajika kiasi gani tumsindikize mpendwa wetu,
ReplyDeleteujumbe si umefika lakini?? mbona malalamiko mengi!!! duh hata kwenye kufa pia??
ReplyDeleteZimeshapatikana ngapi so far kwa hiyo ZIMEPELEA ngapi?
ReplyDeletePoleni wafiwa kwa msiba wa huyu dada,pia shukrani kwa Arthur Gao na familia ya kwa kupokea msiba hapo nyumbani kwako. kama ilivyo tangazwa mwanzani wakati msiba umetokea kuwa huyu dada hana ndugu hapo MD na maeneo ya karibu. Ndugu ni wote bila kuzingatia wa damu au jamaa wa karibu.
ReplyDeleteTuko pamoja,
Chicopee, Mass. USA.