Rais Jakaya Kikwete akiongozana na  Waziri  Mkuu Mh. Mizengo Pinda  
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma mchana huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Guess walikuwa wanalonga nini.

    ReplyDelete
  2. walikuwa wanasema sijui kwa nini waTanzania ni maskini.

    ReplyDelete
  3. walikuwa wanasema hivi:
    Pinda: Hivi Kikwete Watanzania kweli wana akili timamu
    Kikwete: Sitegemei, ni watu wa kawaida, akili ndogo ndogo tu...hahaa
    Pinda: Ni kweli kabisa, wanafikiriaje umeme upatikane bila mvua kunyesha...hhahaaaa.
    Kikwete: Ajabu..
    Pinda: Sasa Mkuu Safari lini tena
    Kikwete: hahaa, hiyo tena, kesho. Naenda kuoga maji ya moto ulaya. siunajua tena hakuna umeme...hahaaaa

    ReplyDelete
  4. Pinda alikuwa anamuomba Kikwete naye asafiri kidogo..hahaa

    ReplyDelete
  5. Pinda: Mkuu so far hali ni shwari hapa Bungeni.
    JK: Prime Minister umejitahidi sijasikia sikia kelele za watoto wa Chadema.
    Pinda: Mkuu walio wengi ni njaa tu, walivyofika tukawapiga pamba,hela ya kununulia nyama choma mnadani na shangingi moja.
    JK: Kwiii kwiii, ni kweli ukihitaji msaada let me know. Safari nikienda Ulaya nitaenda na bakuri kubwa zaidi.
    Pinda: Hakuna shida mkuu tuko sawaaa

    ReplyDelete
  6. JK:Hapa dodoma juwa ni kali sana
    PINDA: Ni kweli juwa kali sana na swaum hii si mchezo
    WOTE KWA PAMOJA: Hahahaha swaum kweli kali

    ReplyDelete
  7. Chadema mlie tu. Mkikipata kiti hapo 2015 tutaka mabadiliko kwa mwaka mmoja. Yaguju labda Mbowe amfufue Mfadhili wake Nyerere. Nilonge nsilonge.

    ReplyDelete
  8. kikwete: hapa kwa kweli mambo naona yanachemka huku wizara nyingi zipo kiti moto unasemaje pinda.
    Pinda: kwa kweli hapa mzee wabunge wamechachamaa..nitakwambia baadaye.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...