Home
Unlabelled
JK atua dodoma mchana huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Guess walikuwa wanalonga nini.
ReplyDeletewalikuwa wanasema sijui kwa nini waTanzania ni maskini.
ReplyDeletewalikuwa wanasema hivi:
ReplyDeletePinda: Hivi Kikwete Watanzania kweli wana akili timamu
Kikwete: Sitegemei, ni watu wa kawaida, akili ndogo ndogo tu...hahaa
Pinda: Ni kweli kabisa, wanafikiriaje umeme upatikane bila mvua kunyesha...hhahaaaa.
Kikwete: Ajabu..
Pinda: Sasa Mkuu Safari lini tena
Kikwete: hahaa, hiyo tena, kesho. Naenda kuoga maji ya moto ulaya. siunajua tena hakuna umeme...hahaaaa
Pinda alikuwa anamuomba Kikwete naye asafiri kidogo..hahaa
ReplyDeletePinda: Mkuu so far hali ni shwari hapa Bungeni.
ReplyDeleteJK: Prime Minister umejitahidi sijasikia sikia kelele za watoto wa Chadema.
Pinda: Mkuu walio wengi ni njaa tu, walivyofika tukawapiga pamba,hela ya kununulia nyama choma mnadani na shangingi moja.
JK: Kwiii kwiii, ni kweli ukihitaji msaada let me know. Safari nikienda Ulaya nitaenda na bakuri kubwa zaidi.
Pinda: Hakuna shida mkuu tuko sawaaa
JK:Hapa dodoma juwa ni kali sana
ReplyDeletePINDA: Ni kweli juwa kali sana na swaum hii si mchezo
WOTE KWA PAMOJA: Hahahaha swaum kweli kali
Chadema mlie tu. Mkikipata kiti hapo 2015 tutaka mabadiliko kwa mwaka mmoja. Yaguju labda Mbowe amfufue Mfadhili wake Nyerere. Nilonge nsilonge.
ReplyDeletekikwete: hapa kwa kweli mambo naona yanachemka huku wizara nyingi zipo kiti moto unasemaje pinda.
ReplyDeletePinda: kwa kweli hapa mzee wabunge wamechachamaa..nitakwambia baadaye.