Mama Salma Kikwete akitoa zawadi kwa madiwani wanawake wa Dar es salaam katika hafla ya futari waliyoandaa Jumamosi jioni Ikulu jijini
Mama Salma Kikwete akiwa na baadhi ya wageni wake
JK akiongea kuwashukuru madiwani kwa kufika kwenye futari waliyoandaa
JK akimpatia zawadi Mstahiki Meya wa Kinondoni Yusuph Mwenda
JK akisalimiana na madiwani wanawake
Waalikwa wakipakua futari.
Kwa mapicha zaidi ya hafla hii








Kazi kwenu madiwani, JK amewakaribisha ikulu akiwa na maana muwe karibu naye kulitumikia taifa na si vinginevyo,kwani aliweza kutowakaribisha hapo ikulu mpaka anatoka kwenye uraisi-mkumbuke hili.
ReplyDeleteHekima ya mwaliko ni kuwa na ninyi muende kuwatumikia wananchi wenu kwenye vituo vyenu kumpatia wepesi wa kutatua shida za wanachi ili kulijenga taifa nasio kuleta upendeleo wowote au ubinafsi.
Tunahitaji madiwani wachapa kazi na sio wachakachuaji,nchi yetu inahitaji watu wenye moyo wa kujituma.