Mama Salma Kikwete akitoa zawadi kwa madiwani wanawake wa Dar es salaam katika hafla ya futari waliyoandaa Jumamosi jioni Ikulu jijini
 Mama Salma Kikwete akiwa na baadhi ya wageni wake
 JK akiongea kuwashukuru madiwani kwa kufika kwenye futari waliyoandaa
 JK akimpatia zawadi Mstahiki Meya wa Kinondoni Yusuph Mwenda
 JK akisalimiana na madiwani wanawake
Waalikwa wakipakua futari.
Kwa mapicha zaidi ya hafla hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kazi kwenu madiwani, JK amewakaribisha ikulu akiwa na maana muwe karibu naye kulitumikia taifa na si vinginevyo,kwani aliweza kutowakaribisha hapo ikulu mpaka anatoka kwenye uraisi-mkumbuke hili.
    Hekima ya mwaliko ni kuwa na ninyi muende kuwatumikia wananchi wenu kwenye vituo vyenu kumpatia wepesi wa kutatua shida za wanachi ili kulijenga taifa nasio kuleta upendeleo wowote au ubinafsi.
    Tunahitaji madiwani wachapa kazi na sio wachakachuaji,nchi yetu inahitaji watu wenye moyo wa kujituma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...