Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho ya Sheria,Wakili Harold Sungusia akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya Kituo cha Sheria na Haki za Biandamu walipoitaka Serikali Kusitisha Uchimbaji wa madini ya Uranium nchini.Kushoto ni Mratibu wa Shughuli za Mazingira na Uwajibikaji wa Makampuni,Wakili Flaviana Charles.
Home
Unlabelled
Kituo cha Sheria na Haki za Biandamu Chaitaka Serikali Kusitisha Uchimbaji wa Uranium
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Hivi sasa hivi wanachimba au wapo kwenye upembuzi yakinifu (feasibility studies)? naomba msaada wadau
ReplyDeleteEndelea na ukweli wamambo, "MADHARARA" ya hiyo kitu huku wanatafuta mahali pa kumwaga masalia "MABAKI" ya ZANA/MASHINE/VITENDEA KAZI VILIVYOPITWA NA WAKATI VYENYE "MIALI YA NYUKLIA". HATUJUI GHARAMA YA UHARIBIFU WA MAZINGIRA NA NI KWA NAMNA GANI/IPI TUTATUPA TAKATAKA ZAKE BILA KUHARIBU/KUTEKETEZA MAZINGIRA NA ITATUGHARIMU BILIONI NGAPI KUTUPA/KUTEKETEZA KISAYANSI HIZO TAKATAKA TU. TUNATAKA KUKIMBIA KABLA YA "KUTAMBAA NA KUTEMBEA".
ReplyDelete