Treni ya mizigo ikiingia stesheni ya Dodoma leo jioni
 Mzunguko katikati ya mji wa Dodoma pamoja na Jamati la Shia Ismail ambalo saa yake inahitaji marekebisho kwani picha imepigwa saa kumi na mbili jioni
 Mojawapo ya hoteli kubwa na mpya mjini Dodoma karibu na soko kuu
Kiota maarufu cha maraha cha Chako ni Chako kikisubiri wadau.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mji mkuu kuwepo dodoma hata hailekei,kupoteza gharama tu

    ReplyDelete
  2. Chako ni chako kiota cha zamani sana mitaa ya Air port inanikumbusha miaka ya 80's tunatoka jamhuri primary school tunarudi nyumbani kupitia hapo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...