Treni ya mizigo ikiingia stesheni ya Dodoma leo jioni
Mzunguko katikati ya mji wa Dodoma pamoja na Jamati la Shia Ismail ambalo saa yake inahitaji marekebisho kwani picha imepigwa saa kumi na mbili jioni
Mojawapo ya hoteli kubwa na mpya mjini Dodoma karibu na soko kuu
Kiota maarufu cha maraha cha Chako ni Chako kikisubiri wadau.






mji mkuu kuwepo dodoma hata hailekei,kupoteza gharama tu
ReplyDeleteChako ni chako kiota cha zamani sana mitaa ya Air port inanikumbusha miaka ya 80's tunatoka jamhuri primary school tunarudi nyumbani kupitia hapo
ReplyDelete