PICHA NA HABARI NA JOHN NDITI
MCHEZO WA LIGI KUU YA VODACOM KATI YA YANGA NA JKT RUVU LEO KWENYE UWANJA WA JAMHURI MJINI MOROGORO. YANGA A ILILALA KWA BAO 1-0 LILILOFUNGWA KWA NJIA YA PENATI NA MCHEZAJI KESSY MAPANDE  BAADA YA BEKI WA YANGA, CHACHA MARWA, KUMWAGUSHA KATIKA  ENEO LA HATARI MSHAMBULIAJI  HATARI WA JKT RUVU, AMOS MGISA,  NA MWAMUZI WA MCHEZO HUO, ODERN MBAGA KUAMULU MAGUU 12 KUEKELEA YANGA,  NA BILA AJIZI MFUNGAJI KUPACHIKA BAO SWAFI KWA SHUTI KATI ILIYOMSHINDA KIPA SAID MOHAMED WA YANGA. HADI MWISHO JKT RUVU BAO 1 NA MABINGWA WATETEZI YANGA O.
Mchezaji wa timu ya JKT Ruvu, George Minja akiuwahi mpira wa juu huku akizongwa na mshambuliaji wa Yanga
Mlinzi wa RUVU JKT akimzengea beki wa Yanga Shadrack Nsajigwa ambaye kapanda kuleta mashambulizi

KIKOSI CHA JKT RUVU KILICHOCHEZA NA YANGA
KIKOSI CHA YANGA KILICHOCHEZA NA JKT RUVU
UKIONA MANYOYA UJUE KALIWA....MASHAMBIKI WA YANGA WAKIWA NA HUZUNI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...