Mkutano wa 13 wa Maspika na Wenyeviti wa Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CPA) Kanda ya Afrika umeendelea mjini Liliongwe Malawi leo kwa kujadili changamoto mbalimbali zitokanazo na vyama vya upinzani. Kutoka kulia ni Bw Saidi Yakubu na Bw. Demetrius Mgalami  kutoka Tanzania wanaounda sekretarieti ya CPA Kanda ya Afrika.
 Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akifuatilia mjadala huo kwa umakini.
 Ulipofika wakati wa kulitembelea Jengo jipya la Bunge la Malawi Maspika wote kutoka nchi kumi natisa wlipata fursa ya kupanda mti wa ukumbusho katika viwanja vya Bunge.  Mhe Makinda akipanda mti wa Ukumbisho katika eneo lilitengwa rasmi kwa ajili ya wa Tanzania aina ya ashoki.
 Baadhi ya wajumbe kutoka Tanzania wakiwa na Mhe. Spika kwenye mti huo.

Picha ya pamoja ya Maspika wote baada ya kupanda miti.
                                               Picha zote na mdau Prosper Minja -Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...