Ndugu Omary Mjenga, Mwakilishi Mkaazi wa UNOPS nchini Sierra Leone, alipomtembelea Balozi wa DRC Umoja wa Mataifa, New York Ndugu Atoki Ileka, kuzungumzia mkutano wa Bodi ya UNDP/UNFPA/UNOPS itakayokutana mwezi ujao New York. UNOPS imeteuliwa na Umoja wa Ulaya (EU) kusimamia waangalizi wa uchaguzi wa EU kwenye uchaguzi mkuu ujao wa DRC.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...