Timu nzima ya tovuti ya www.tzhiphop.com inapenda kuchukua fursa hii kuwashukuru watu wote ambao, kwa namna moja au nyingine wametusaidia kupiga hatua nyingi kubwa tokea pale harakati hizi zilipoanza mwishoni mwa Aprili mwaka huu. Bloggers, watangazaji na DJs wa radio kadhaa, wasanii, wadau, mashabiki na mashabiki wapya wanaoendelea kuongezeka... pamoja na wewe Ankal ambaye umetusaidia kutangaza tovuti yetu!
Shukrani sana!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. the web portal colour is too black

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...