PICHA NA HABARI NA JOHN NDITI
MCHEZO WA LIGI KUU YA VODACOM KATI YA YANGA NA JKT RUVU LEO KWENYE UWANJA WA JAMHURI MJINI MOROGORO. YANGA A ILILALA KWA BAO 1-0 LILILOFUNGWA KWA NJIA YA PENATI NA MCHEZAJI KESSY MAPANDE BAADA YA BEKI WA YANGA, CHACHA MARWA, KUMWAGUSHA KATIKA ENEO LA HATARI MSHAMBULIAJI HATARI WA JKT RUVU, AMOS MGISA, NA MWAMUZI WA MCHEZO HUO, ODERN MBAGA KUAMULU MAGUU 12 KUEKELEA YANGA, NA BILA AJIZI MFUNGAJI KUPACHIKA BAO SWAFI KWA SHUTI KATI ILIYOMSHINDA KIPA SAID MOHAMED WA YANGA. HADI MWISHO JKT RUVU BAO 1 NA MABINGWA WATETEZI YANGA O.
Mchezaji wa timu ya JKT Ruvu, George Minja akiuwahi mpira wa juu huku akizongwa na mshambuliaji wa Yanga
Mlinzi wa RUVU JKT akimzengea beki wa Yanga Shadrack Nsajigwa ambaye kapanda kuleta mashambulizi
KIKOSI CHA JKT RUVU KILICHOCHEZA NA YANGA
KIKOSI CHA YANGA KILICHOCHEZA NA JKT RUVU
UKIONA MANYOYA UJUE KALIWA....MASHAMBIKI WA YANGA WAKIWA NA HUZUNI


poleni yanga mke wa simba
ReplyDelete