Timu nzima ya tovuti ya www.tzhiphop.com inapenda kuchukua fursa hii kuwashukuru watu wote ambao, kwa namna moja au nyingine wametusaidia kupiga hatua nyingi kubwa tokea pale harakati hizi zilipoanza mwishoni mwa Aprili mwaka huu. Bloggers, watangazaji na DJs wa radio kadhaa, wasanii, wadau, mashabiki na mashabiki wapya wanaoendelea kuongezeka... pamoja na wewe Ankal ambaye umetusaidia kutangaza tovuti yetu!
Shukrani sana!
Home
Unlabelled
Shukrani za dhati kutoka TZhiphop.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



the web portal colour is too black
ReplyDelete